Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Ile ni taka taka tu mkuuDube ana shida gani ase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni taka taka tu mkuuDube ana shida gani ase
Sana uyu kocha itakuwa katumwa na simbaKocha kamuweka benchi Pacome, halafu Dube ndani. Kocha kazingua sana.
hamna mchezaji paleDube ana shida gani ase
Utopolo kweli .....🐸 🐸 🐸Kwa jinsi Hawa vyura walivyo na papara bila kutumia akili,na beti wanatangulizwa wao kwanza, mengine tutajua mpira unavyoendelea.
Yakutpa kabisa ana anguka af sijui kwanini kila mchezo wanamuazishaIle ni taka taka tu mkuu
After 90' wee Iandae ten yanguuu ☺️Nidai teniiii
sijui ye hua anamuona dube kwa jicho lipiKocha kamuweka benchi Pacome, halafu Dube ndani. Kocha kazingua sana.
Ngoja tuoneHii game Yanga wamejitakia wenyewe. Kocha ilibidi aanze na kikosi cha mechi ya mwisho walichocheza na Al hilal ama mazembe.
Ptyiuuuu😒😒😒Kazi ikiisha usinisahau na mimi
Dah sio poaaaSi mnaona anachofanya diara??
Shida yake atak kutuliaSi mnaona anachofanya diara??
Dalili zinaonesha watafungwa Kwa sababu Wana pressure,wanacheza hovyo na watachoka haraka ,msije kusema sijawaambia maana sijaona uchezaji wa uhakika wa magoli.Utopolo kweli .....🐸 🐸 🐸
Nenda YoutubeMwenye link ya kustream hii match please, naona Azam wamefail kutuonyesha hii burudani
Limedabooo sioni goliii la ushindiAfter 90' wee Iandae ten yanguuu ☺️