Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Umeamua kusalimu amri mapema sana.....hofu ya nini wakati bado muda upo ?Naona Kama vile Yanga atalazimishwa sare na hivyo kupoteza matumaini. Ila refa anawapendelea wasrabu. Mtu kanawa mpira kwenye penalty box lakini refa akamezea tu