Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
kunywa balimi 5 kwa bill yanguHadi mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunywa balimi 5 kwa bill yanguHadi mimi
Chomoa.Inauma saaaana
Nani anunue Calculator yenye mikosi?Nauza calculator yangu😂😂
Gusa achia twende tukaibe kuku
Wadada warembo kama nyie ni fedhea mno kuumizwa na uto🤣🤣Mimi kila kitu hakiendi, inauma sana.
Ok ngoja kwanza nitoke uwanjanikunywa balimi 5 kwa bill yangu
Yule kazi kusuka na kutoga masikio
Jinga sana
😭😭😭Wadada warembo kama nyie ni fedhea mno kuumizwa na uto🤣🤣
Wananchi leo ilikuwa gusa achia shikilia moyo😁Mimi kila kitu hakiendi, inauma sana.
115* 2000 TSH (let say). yaan nimejikuta nimeboreka Sana japo Mimi ni Simba 🦁 Ila Kama mzalendo wa hili taifa nimehuzunika.Leo nimenunua pombe za dollars 115
kumbe hazijaenda bure ***** Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr ephen_ Lamomy Jadda Kalpana DR Mambo Jambo 🤣🤣🤣🤣🤣
Niletee ile video ya yule jamaa anasema inaniuma sana yaani sana 😀Tuliwaambia Yanga hawezi kupita mkasema "oooh hata mwaka jana mlisema hivyo hivyo"
Haya sasa wazungu wanakuambia where is it na waswahili wanasema kiko wapi?
Angalia usiibiwe simu kwani gongowazi kwao ni mradi.Ok ngoja kwanza nitoke uwanjani