Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawiGooooool mzinze mbili😁😁😁
😃😀Gusa achia, turudi ligi kuu 😂
Haijawai kumsaidia mtu.Katumia mbinu za speed test kwenye pepa la Necta.
Usibadilishe kwa tz sh mkuu😁😁😁 ni huzuni kwa kweli acha nilewe kwa amani tu.115* 2000 TSH (let say). yaan nimejikuta nimeboreka Sana japo Mimi ni Simba 🦁 Ila Kama mzalendo wa hili taifa nimehuzunika.
All in all,
Sisi Simba ndio WAKALI WA HIZI KAZI
Mie nilikaa VIP B sikai mchanganganyikoAngalia usiibiwe simu kwani gongowazi kwao ni mradi.
Pole sana. Jipangeni kwa msimu ujao. Kwa sasa maji tayari yamemwagika. Tugange yajayo. Asiyekubali kushindwa si mshindani...Mimi kila kitu hakiendi, inauma sana.
Nimeona watu wanaogelea kwenye mapipa ya mbege😊Leo nimenunua pombe za dollars 115
kumbe hazijaenda bure ***** Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr ephen_ Lamomy Jadda Kalpana DR Mambo Jambo 🤣🤣🤣🤣🤣
Nahisi huzuni kama ya kule gaza kwa wenetu wa yanga bwashee 🤪🤪🤪Acha uchawi
Chomoa 😂Inauma saaaana
Kwa hakikaKuna watu leo watajifanya wapo busy na mkutano mkuu wa CCM, hii tunaijua. 😂