FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hatua ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup kupigwa leo. Saa 10:15 jioni, Azam FC, mabingwa mara tano wa kombe hili kupepetana na Yanga SC, mabingwa watetezi wa kombe hili.

Mara ya Mwisho Azam FC alishinda 5 kwa 1 dhidi ya Yosso Boys na Yanga Kutoa sare ya 2 kwa 2 dhidi ya KMKM

Je, nani Kwenda Fainali?
 
Sima inamudu hizo timu zote. Apite yeyote tu tukutane final
 
Hatua ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup kupigwa leo. Saa 10:15 jioni, AzamFC, mabingwa mara tano wa kombe hili kupepetana na Yanga SC, mabingwa watetezi wa kombe hili.

Mara ya Mwisho Azam FC alishinda 5 kwa 1 dhidi ya Yosso Boys na Yanga Kutoa sare ya 2 kwa 2 dhidi ya KMKM

Je, nani Kwenda Fainali?
Leo tunafanya ya kushtukiza
 
Back
Top Bottom