FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Yanga wanajiangusha kwenye penalty box kuforce penalty refa kawapuuza....saizi wamejiangusha yena nje kidogo ya penalty box refa katoa freekick
 
Azam wanapata nao freekick hapa ebu tuone bahati yao, au kama nao watakuwa na bahati mbaya kama sisi
 
Offside ya kwanza inachezwa na azam hapa baada ya idris kuotea dakika ya 25
 
27"
Yanga bado hawajatulia , Azam wanakosa tu ile extra quality kuiadhibu Yanga
 
Azam wanakosa bao hapa na mpira unaenda nje na kuwa offtarget.....naaam dakika moja ya utulivu kwa ajili ya kunywa maji na kupooza koo hapa
 
Back
Top Bottom