FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Hii mechi Yanga wangewatumia wale wale wakina Ambundo kiliko kuwasafirisha wakina Saidoo. Wanakosa match fitness
Hii mechi Sure Boy alitakiwa aanze badala ya Farid Musa, na pia Dennis Nkane alitakiwa aanze badala ya Moloko!

Hawa wachezaji wawili wamechangia sana Yanga ishindwe na Azam kwenue umiliki wa mpira. Natamani pia Mayelle angeanza badala ya Makambo kutokana na umahiri wake kwenye kutumia nafasi chache anazo zipata.

All in all, ndani ya hizi dk 45 Azam wamecheza vizuri kuliko Yanga. Na wasipo badilika, basi watatolewa pasipo kuamini macho yao ktk hii hatua ya nusu fainali na hawa vibonde Azam.
 
Tunataka mtuambie, kulikuwa na haja gani ya kupandisha boti wachezaji mliowaacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ambayo mitandaoni inasifika kupiga pasi 700 ndio hii inacheza hapa na azam au kuna nyingine?
Kiwango cha Yanga leo kimeshuka mno na hiyo yote ni kutokana na kujifanya hawako serious na mashindano halafu ghafla tu walipoingia nusu fainali wakaamua wawe serious na kuwaokota okotea wakina Bangala mitaani huko ili waunganishe nguvu. Mara mia wangeawaacha wakina Ambundo wacheze hii mechi kwavile tayari walishakuwa na match fitness na walicheza vyema tu. Napata wasiwasi sana na wachezaji wazawa waliosajiliwa Yanga Kama wataendeleza vipaji na viwango vyao ndani ya hii timu maana naona kama wanakalili tu majina ya wachezaji badala ya uwezo wa wachezaji.
 
Utopolo wanacheza hawaonyeshi bidii kabisa, wanatafuta mbinu ya kutukwepa hawa
 
Ball possession

Azam 52%

Yanga 48%

Hii mechi kiufupi wananchi tumetipika, kaze asipofanya mabadiliko ya mapema azam wakija kuboresha makosa yao tumekwisha
 
Hii mechi Sure Boy alitakiwa aanze badala ya Farid Musa, na pia Dennis Nkane alitakiwa aanze badala ya Moloko!

Hawa wachezaji wawili wamechangia sana Yanga ishindwe na Azam kwenue umiliki wa mpira. Natamani pia Mayelle angeanza badala ya Makambo kutokana na umahiri wake kwenye kutumia nafasi chache anazo zipata.

All in all, ndani ya hizi dk 45 Azam wamecheza vizuri kuliko Yanga. Na wasipo badilika, basi watatolewa pasipo kuamini macho yao ktk hii hatua ya nusu fainali na hawa vibonde Azam.
Wote unao wataja taarifa Inasema wanaumwa
 
Tunataka mtuambie, kulikuwa na haja gani ya kupandisha boti wachezaji mliowaacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wasingekuja, halafu timi ikatolewa! Bado watu wangelalamika tu. Ila binafsi, sijafurahiswa kabisa na upangaji wa wachezaji kwenye kiungo na ushambuliaji!

Yaani wamepooza mpaka wanakera. Wakiwatoa Farid na Moloko, na kuingia Nkane na Sure Boy, mambo yatakuwa bam bam kwa Yanga.
 
Nkane na sure boy wanaumwa mkuu hata sub hawapo
 
Wote unao wataja taarifa Inasema wanaumwa
Basi hii ni taarifa mbaya sana kwa siku ya leo! Aucho naye sijui yuko Sub!! Maana kiungo kimepwaya mpaka basi! Yaani Fei Toto hajulikani hata kama yuko uwanjani!
 
Back
Top Bottom