ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
[emoji23]Azam kwa bidhaa bora na viwango vya kimataifa.
[emoji23]
Did you know?
"Azam Fc is the most underperforming Bakhresa product".
Leo tunafanya ya kushtukizaHatua ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup kupigwa leo. Saa 10:15 jioni, AzamFC, mabingwa mara tano wa kombe hili kupepetana na Yanga SC, mabingwa watetezi wa kombe hili.
Mara ya Mwisho Azam FC alishinda 5 kwa 1 dhidi ya Yosso Boys na Yanga Kutoa sare ya 2 kwa 2 dhidi ya KMKM
Je, nani Kwenda Fainali?