Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni muda rasmi wa Utopolo kuliita kombe la mapinduzi KOMBE LA MBAO[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ndiye alie piga ule mnaziiiiYaani huyu kipa kafanya nitake kutukana leo. [emoji853][emoji853]
Mmmxxiiieww.
Nimekumis Yaani Ila Mtani Umeamua Kunikimbia FainaliYaani huyu kipa kafanya nitake kutukana leo. 🙁🙁
Mmmxxiiieww.
Upo Avic TownVipi ule mpira wa Yassin hujaonekana huko kwenu?? Tusaidie kuutafuta
PointGundu limeanza rasmi Utopoloni.
Na Mabingwa wa KihistoriaNi muda rasmi wa Utopolo kuliita kombe la mapinduzi KOMBE LA MBAO[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap japo nawaona azam wakikata tamaa mapema sana
Hakika.Hata huku bara kama isingekuwa figisu za marefa, mpaka Sasa Yanga wangekuwa wamepoteza zaidi ya point 5.
Kinachowabeba kuwa ni zile penalty za kulazimisha, yani hâta hii mechi ingekuwa ni NBC basi ingemalizwa ndani ya dk 90.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ye ndo kasababisha tukafika hadi mpigaji wa tisa. 🙃Kwani ndiye alie piga ule mnaziiii