FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Simba nasi tusilete ujuaji, tukifika penati tunachomolewa, kina Bwalya wanapiga penati ka wamefungiwa barafu miguuni...

Last game Namungo walitukazia mbaya....

Mungu tusaidie.

Amen
Mungu awe nasi .
 
Mashabiki wa yanga ambao mlikuwa mnapima huzuni ya ndugai iliyochanganyika na na maumivu pamoja na wingi wa stress na mkafika mbali mkamuona mjinga nadhani kupitia mechi ya leo majibu mmeyapata
 
Kesho utasikia
Sisi ndio mabingwa wa Kihistoria.
The Return of Champions.

Nawambia sasa hasira zao zote zitahamia kwenye kuwahonga Marefarii, ili wasiabike tena milele.
 
Aisee leo ndo nimeamini kweli hii Dunia ina siri, yani mtu katobolewa huko visiwani alafu mmejikausha kimyaa hata kunishtua, SIJAPENDA! [emoji23][emoji23]
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa pole sana mtani ndo mpira wacha tuchukue kikombe chetu ki roho safi.
 
Anyway namuangalia Banda hapa na timu yake ya taifa, wamoto! ..
 
Mayele alivyoingia uwanjani nilisikia mayowe na vifijo, mpira unaisha anatoka ile love ya mwanzo aliyokaribishwa nayo haipo watu wamevimba midomo kama wamebwiya kubeli

Jamani wananchi bila uzalendo ni kazi bure, jamaa tulipaswa kumpa heshima yake kitendo tulichomfanyia sio cha kiungwana na kitamuaribu kisaikolojia
 
Hahaaaaa bro ile ndo yanga tunayo ijua ....maana leo hamjacheza na refa dadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…