Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuuza mwana wa mtu kwa vipande vya bia?Kuna mtu hapa bar akiniambia yanga wakifungwa nakula bia tano japo yanga team yangu ila naombea wafungwe
[emoji1787][emoji1787]Kuna mtu hapa bar akiniambia yanga wakifungwa nakula bia tano japo yanga team yangu ila naombea wafungwe
Kasema Kama Azam wakishinda kwa matuta nakula bia tatu..hapa napiga dua kimyakimya[emoji1787][emoji1787]
Nipo upande wako ili unywe hizo beer za kufungwa yangaKasema Kama Azam wakishinda kwa matuta nakula bia tatu..hapa napiga dua kimyakimya