mbona mumekua wakali hivi, sisi ni ndugu jamani
Unamuonea Gamondi bure tu, hao Ahly sio timu ndogo pia.Yanga tunakosa mbinu za kiufundi Gamondi ajitafakari, Yanga ni kubwa kuliko yeye
Sawa. Endeleeni kutafuta muda bado upo.Magoli yanatafutwa. Siyo mchezo wa rede huu.
HII MECHI IISHE TU HATA KWA DRAW HII, AHLY WASHAKOSA NAFASI TATU ZA WAZI