FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Azizi Ki alianza kutafuta sababu mara ajishike kichwa kama ishara ya kuumia

Hiyo yote ni mazingira ya kukwepa lawama ili baadaye tuseme alikuwa hayupo vizuri.

Max leo nimemuona kwenye lineup tu, uwanjani sijamuona.

Kuna baadhi ya wachezaji ukisema umsubirie commentator awataje majina utajikuta mpaka mpira unaisha hujamsikia.

Nmeamini kweli wewe HUNA AKILI!
kwahyo mchezazi akiumia asioneshe kaumia ili apewe matibabu?

Mtu anatumia nguvu kubwa kukaba kukimbia na kutoa pasi
We unadhani ni easy kama kumtoa dem wako chupi?
 
Back
Top Bottom