FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Azam vipi tena au ni Buza Tu hali hii ?
 
Hafadhali tumesawazisha hawa jamaa sio wagumu ila tulichokosea ni kucheza kwa tempa wanayo taka wao.
Hawa jamaa uzoefu unawasaidia na wanajua sana kuutumia, ila sio kwamba waliwazidi hata.
 
Percy Muzi Tau - wa bondeni South Africa !



Tai wekundu wa Cairo Egypt Al Ahly SC wanashangilia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…