Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ongea tenaPyeeeeeeeeeeeeee
Misuli imelegea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea tenaPyeeeeeeeeeeeeee
Misuli imelegea
Tuliwaaambia
WashachanganyikiwaHawa Azam vipi sasa?
Umepigaje apoooWamerudisha banaaaa
Match ime isha ? Kama bado tulia apo kwanzaMnashangilia droo
Nawao wanashangaa Umepigaje apooAzam wame mind[emoji3][emoji3]
Yanga wameshinda?Makolo kimya!
Hawa jamaa mpira wao ni wakitabu wana design mazoezini na kuimplement uwanjani.Angalau aiseee.....
Kudondosha point 3 ingekuwa balaa.
Drooooo hyoooOngea tena
[emoji1787][emoji1787]Mda bado mtaniMakolo kimya!
Hawa jamaa uzoefu unawasaidia na wanajua sana kuutumia, ila sio kwamba waliwazidi hata.Hafadhali tumesawazisha hawa jamaa sio wagumu ila tulichokosea ni kucheza kwa tempa wanayo taka wao.