FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Mechi kama hii mnashindwa kujaza uwanja halafu mnajiita timu kubwa. Nyinyi ni timu kongwe na sio kubwa.
Muhusika wa kitengo cha uhamasishaji anapaswa kuja na mbinu ili mechi hizi zileta manufaa nyumbani.Au ndo tumuombee Haji atoke kifungoni.
 
Back
Top Bottom