black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Tukipigwa ni kama tumepiga na tukipigaa ni tumepiga tuu kama mtu kazi[emoji2957]Taifa linaenda kupata aibu tena leo
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipigwa ni kama tumepiga na tukipigaa ni tumepiga tuu kama mtu kazi[emoji2957]Taifa linaenda kupata aibu tena leo
Niko na mama yako nimempakataAliyesema DSTV ninayo pekeyangu ni nani? Hizo stress za kijinga mpelekee mama yako huko.
35Dakika ya ngapi vile
Ki alikosaHilo goal mbona mtaani hapa kimya?
Mwiko uko wapi vileeKila la kheri Yanga... Daima mbele nyuma mwiko... 💛💚
Sis Yanga tunafunga kipindi cha pili, hat Zolan walikomaa cha kwanza cha pili tukabana mwiko nyuma na kuwapiga 5 kwao na kisha nyumbani tukawapiga 4.
Aliyesema DSTV ninayo pekeyangu ni nani? Hizo stress za kijinga mpelekee mama yako huko.
Football ni burudani, acheni matusi nduguNiko na mama yako nimempakata
Lazima Man U au Man City wapigwe na hii Yanga. Tena kwa Lupaso, kama hawaamini wamuulize Zolan alipigwa kwao na hapa.Yanga hii hata aje manchester
Mwiko kwake nyumaMwiko uko wapi vilee
UnazinguaSis Yanga tunafunga kipindi cha pili, hat Zolan walikomaa cha kwanza cha pili tukabana mwiko nyuma na kuwapiga 5 kwao na kisha nyumbani tukawapiga 4.