Mpka sasa ngoma iko upande wa mtaniNgoja tuone.
Timu kubwaa young African [emoji172]Al Hilal leo lazima wakae
Nguvu moja
Hawana jemaDahh tuwaombee watani bna.
UnasemaGoooal
Acha uchizi UtopoloGoooal
Goli liko njiani si unaona ufunguo kakosaUnasema
Achana nao tuwaombee tuHawana jema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uchizi Utopolo
Huo mwiko leo unachomolewa huko nyuma na kupigwa mitiKila la kheri Yanga... Daima mbele nyuma mwiko... 💛💚
Muhusika wa kitengo cha uhamasishaji anapaswa kuja na mbinu ili mechi hizi zileta manufaa nyumbani.Au ndo tumuombee Haji atoke kifungoni.Mechi kama hii mnashindwa kujaza uwanja halafu mnajiita timu kubwa. Nyinyi ni timu kongwe na sio kubwa.
Hilo goal mbona mtaani hapa kimya?Goooal
AsanteeNakuombea kila la heri rfk angu. Ila nikiwa nainanga usikasirike