HahahahNmeweka pesa Yanga ashinde mkuu punguza uchawi basi [emoji21]
Subiri kipindi cha pili.mganga wa mwaka huu ndo maajabu yake hayoUtopolo hawana uwezo wowote
Unaleta mchezo na hela kijanaNmeweka pesa Yanga ashinde mkuu punguza uchawi basi 😣
Ngoma itaisha hivi alafu wakija kwetu unubini Uto watalia.Half Time
Yanga 0-0 Al Hilal
[emoji15]
Punguza uchawi mkuu fanya ushirikina ila punguza uchawi leo acha Yanga ishinde nile pesa 😣Unaleta mchezo na hela kijana
Mpaka mtazibujua hahahahahNaona wananchi wanabana pumbuz hapa🤣🤣🤣🤣🤣
Yanga ishindeeeee nimeweka pesa mkuuNgoma itaisha hivi alafu wakija kwetu unubini Uto watalia.
Watume na muamala kabisa mambo yawe mepesi.Pulizeni dawa mshinde si mnafikiri ni rahisi tu.
Mpaka waweze..! Simba SC anaposhinda Lupaso wao wanaona kazi rahisi yaani.Wafungeni mapema hawa lasivyooo...[emoji51]
😅😆😁😄😃😃😃Sioni Nafasi Ya Yanga Kutoboa.
Correct me If I’m wrong