FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Mechi kama hizi kama siyo mzoefu laziq upate tabu sasa yanga mjipange ligi kama hizi wenzenu simba wamezoea
 
Mpaka sasa sijaona dalili ya sie Yanga kupata ushindi aliotuahidi afisa habari wetu wa goli nne bila.
Hao wasemaji ni wana siasa tuu.
Yaani hapa hawa jamaa wakimbana morison tuu yanga hapata goli kabisa
 
Huyo jaaa huwa anapenda shari sana, sasa wacha niende nae kama anavyotaka.

Mkuu haukuwahi kusikia Kuna wakati kunyamaza ni Bora kuliko kupigizana kelele kuonyesha kwamba uko sahihi,? Na huo ndio ukomavu au utu uzima wenyewe sasa
 
Utashinda ukimpa simba, yanga apigwe tuu
Screenshot_20221008-165303.png


Sawa mkuu we endelea kuwanga tu...

😣
 
Makolo wameroga sana yaani Aziz, Morrison na Mayele wanakosa sana magoli
Sisi ni team ya watu tunapjitambua hivyo ninyi pambaneni na hao mawimbi ya bahari kivyenu bila lutuhusisha sisi.

Sisi gemu yetu kesho ila Leo lazima mfungwe mdomo
 
Back
Top Bottom