FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Mnajificha nini sasa,Utoto huo
Mechi bado hii inaweza kutoa matokeo matatu sare, yanga kushinda au kufungwa. Tukumbuke tu kuwa asilimia kubwa ya mechi za yanga msimu huu wamepata magoli kipindi cha pili. Hazizidi mechi mbili ndizo ambazo yanga imepata goli kwanzia kipindi cha kwanza.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mechi kama hizi kama siyo mzoefu laziq upate tabu sasa yanga mjipange ligi kama hizi wenzenu simba wamezoea
Yanga walianza kwa kasi na kupiga mashuti golini lakini kadri muda unavyozidi wakawa wanapungua utadhani wao wapo ugenini na kuwapa nafasi Al Hilal nao kujiona wapo kwao.

Ngoja Tusubiri Lala kwa Buriani
 
Mechi bado hii inaweza kutoa matokeo matatu sare, yanga kushinda au kufungwa. Tukumbuke tu kuwa asilimia kubwa ya mechi za yanga msimu huu wamepata magoli kipindi cha pili. Hazizidi mechi mbili ndizo ambazo yanga imepata goli kwanzia kipindi cha kwanza.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona walichachamaa vile wasisubir kipindi cha pili.
 
Kila la kheri wananchi kwenye second half... peperusheni bendera ya NBC premier league!
 
Basi kuwa hivyo hivyo mchangia popote hahahh baki na mambo ya mbususu tuu.karibia tutakupa udaktari wa falsafa
Mnaangaika na team ya wananchi kama mntaka ingia chuamba cha kuzalia mmepatwa na uchungu🤣🤣🤣🤣
 
Ibenge ndo mchawi wa kimataifa Nabi mbovu sana kimataifa.kuna uzoefu kwa timu pia unachangia.
Yanga inashinda mkuu subiri mpira uishe ndio uongee mpira bado haujaisha huu ndio Kwanza half time
 
Back
Top Bottom