Hahaha hapa naona wamebanwa....@financial service huko roho juu juu tuuMpaka mtazibujua hahahahah
Byut Byut HoiANIBITENI YA NYOLO
Yanga atashinda hi game hakuna upinzani ..Kuna katitiz kadgo ila yapo matumanini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Labda ngoma za masikio zinakunwaBado nasubiri kuona Al Hilal wanapigwa kama ngoma[emoji102].
Umejiondoa sio?Hahaha hapa naona wamebanwa....@financial service huko roho juu juu tuu
Utashinda ukimpa simba, yanga apigwe tuuPunguza uchawi mkuu fanya ushirikina ila punguza uchawi leo acha Yanga ishinde nile pesa 😣
Yanga 9 - 0 Zalan (Yote kipindi Cha pili)Mpaka sasa sijaona dalili ya sie Yanga kupata ushindi aliotuahidi afisa habari wetu wa goli nne bila.
Hao wasemaji ni wana siasa tuu.Mpaka sasa sijaona dalili ya sie Yanga kupata ushindi aliotuahidi afisa habari wetu wa goli nne bila.
Huyo jaaa huwa anapenda shari sana, sasa wacha niende nae kama anavyotaka.
Umechoma pesa yako,angalau ungeweka hivi Al hilal ashinde au adraw hapo ungempasua muhindi.Yanga ishindeeeee nimeweka pesa mkuu
Mpaka waweze..! Simba SC anaposhinda Lupaso wao wanaona kazi rahisi yaani.
Hii game wasipopata ushindi itakuwa mbaya sana kwao.
Utashinda ukimpa simba, yanga apigwe tuu
Mie mpenzi wa atalanta ya bwana gasperini. Siwezi shabikia utopolo wala kolowizzardUmejiondoa sio?
Sisi ni team ya watu tunapjitambua hivyo ninyi pambaneni na hao mawimbi ya bahari kivyenu bila lutuhusisha sisi.Makolo wameroga sana yaani Aziz, Morrison na Mayele wanakosa sana magoli