Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kwa hiyo nyasi zimepatwaLile shoot la Aziz Ki lingempata Mtu kwenye Kichwa alikuwa anasawajika ubongo
Limegeuka kuwa swala la matumani tena, si tulikubaliana kuwa hakuna team ya kuisumbua Yanga Sc katika ukanda huu wa CECAFA na kwamba Hilal atapigwa kama ngoma??Yanga atashinda hi game hakuna upinzani ..Kuna katitiz kadgo ila yapo matumanini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Basi kuwa hivyo hivyo mchangia popote hahahh baki na mambo ya mbususu tuu.karibia tutakupa udaktari wa falsafaMie mpenzi wa atalanta ya bwana gasperini. Siwezi shabikia utopolo wala kolowizzard
Wamebana ninhii huko waliko mpk wapate goli ndio watakuja.Hivi yanga hakuna mashabiki au?
half time ndo wanapata nafasi ya kufanya miamala kwa refa na wachezaji wa timu pinzani.ila kwa Al hilal awawezi jamaa wanalipana mishahara minono na wanapesa chafu yani.Hivi kwanini ni kipindi cha pili ndo wanafunga?
Aya ngoja tuone, usije ukakimbiaMakolo tulieni, hii mechi Yanga tunashinda. Mpira dakika 90...
Hii game Ata wakishinda moja bila bado wanakazi sana jamaa wazoefu sana sjui nin kitatokea ila yanga ili afuzu inahitajika nguvu ya zaidi sanaMpaka waweze..! Simba SC anaposhinda Lupaso wao wanaona kazi rahisi yaani.
Hii game wasipopata ushindi itakuwa mbaya sana kwao.
Koma we MAKOLO na jifunze kuwa na akiba ya maneno maana mpira ni dakika 90.Limegeuka kuwa swala la matumani tena, si tulikubaliana kuwa hakuna team ya kuisumbua Yanga Sc katika ukanda huu wa CECAFA na kwamba Hilal atapigwa kama ngoma??
Poleni sana Yanga game plan mbovu sana Aziz K hana faida kbsa, badala ya kuingia ndani ya box mnapiga cross kitu ambacho ni zero hadi Sasa, Moloko hana faida, Bora angecheza Gael nafasi ya aucho, mwamnyeto aingie bangalq apige SITA Faisal na kisinda waengeze nguvuMAPUMZIKO
45' Yanga wanapata kona, Ki anapiga inaokolewa
44' Al Hilal wanaruhusu lango lao kufikiwa mara kwa mara
40' Yanga wanarejesha kasi yao waliyoanza nayo lakini wapinzani wao wapo makini
31' Yanga wanapata kona, anapiga Aziz Ki shambulizi linaokolewa
28' Al Hilal wanapanga mashambulizi taratibu
25' Kasi ya mchezo imebalansi, timu zote zinamiliki mpira kwa zamu
20' Al Hilal wanapata faulo nje ya 18 ya eneo la Yanga
19' Wageni wametulia na sasa wanapiga pasi kadhaa, wamefika langoni mwa Yanga kwa krosi
12' Shambulizi kali langoni mwa Al Hilal Club lakini walinzi wanaokoa
11' Morrison anawatoka walinzi, mpira unambabatiza beki inakuwa kona nyingine
10' Yanga wanapata kona
4' Yanga wanafanya shambulizi la kushtukiza, inakuwa kona, inapigwa haizai matunda
3' Presha ya mchezo ipo juu lakini ni Yanga ndio wanaomiliki mpira muda mwingi
1' Yanga wanafanya shambulizi kupitia kwa Morrison, inakuwa kona
Mchezo umeanza, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Tanzania
Timu zinaingia uwanjani kwa ajili ya kuanza mchezo
View attachment 2380734
Kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa leo Oktoba 8, 2022
================
Wakuu leo ndiyo leo, mtoto hatumwi dukani, ngoma ya mtoto haikeshi, usiku wa deni haukawii kukucha.
Leo majira ya saa 10:00 jioni, katika dimba la Benjamin Mkapa, Yanga watashuka dimbani katika mchezo wao dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe, katika michezo yao ya awali, Yanga waliwatoa Zalan na Al Hilal wakawatoa St. George ya Ethiopia.
Yanga inafundishwa na Kocha Prof. Nabi huku wapinzani wao wakinolewa na Kocha Ibenge. Iwe jua iwe mvua timu ya Yanga inahitaji ushindi wa kuanzia goli 3 ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele.
Mechi itakuwa mubashara kupitia Azam Sports 1HD.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Katika tisini bado ngapiMakolo tulieni, hii mechi Yanga tunashinda. Mpira dakika 90...
Mashabiki wa Yanga waoga sanaWamebana ninhii huko waliko mpk wapate goli ndio watakuja.
Yanga inashinda mkuuUmechoma pesa yako,angalau ungeweka hivi Al hilal ashinde au adraw hapo ungempasua muhindi.
Makolo tulieni, hii mechi Yanga tunashinda. Mpira dakika 90...
Leo hawafungiHivi kwanini ni kipindi cha pili ndo wanafunga?
Wee tulia hapa tunataka ya ga washinde ili tukateteme na warembo wa yanga wikend. Sema nao wakina mayele wanazinguaBasi kuwa hivyo hivyo mchangia popote hahahh baki na mambo ya mbususu tuu.karibia tutakupa udaktari wa falsafa