machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
We jamaaa unaleta uchawi wa kiteknolojia
Mechi bado hii inaweza kutoa matokeo matatu sare, yanga kushinda au kufungwa. Tukumbuke tu kuwa asilimia kubwa ya mechi za yanga msimu huu wamepata magoli kipindi cha pili. Hazizidi mechi mbili ndizo ambazo yanga imepata goli kwanzia kipindi cha kwanza.Mnajificha nini sasa,Utoto huo
Tatizo waliona mambo rahisi kama Zalan ngoja tuoneMashabiki wa Yanga waoga sana
Yanga walianza kwa kasi na kupiga mashuti golini lakini kadri muda unavyozidi wakawa wanapungua utadhani wao wapo ugenini na kuwapa nafasi Al Hilal nao kujiona wapo kwao.Mechi kama hizi kama siyo mzoefu laziq upate tabu sasa yanga mjipange ligi kama hizi wenzenu simba wamezoea
Amkaa achana na hizo ndotoMakolo tulieni, hii mechi Yanga tunashinda. Mpira dakika 90...
Ila hilal wanafungika watulie tuTatizo waliona mambo rahisi kama Zalan ngoja tuone
Niko hapa...Aya ngoja tuone, usije ukakimbia
Hamna mkuu Yanga ushindi lazima goli 3We jamaaa unaleta uchawi wa kiteknolojia
Mbona walichachamaa vile wasisubir kipindi cha pili.Mechi bado hii inaweza kutoa matokeo matatu sare, yanga kushinda au kufungwa. Tukumbuke tu kuwa asilimia kubwa ya mechi za yanga msimu huu wamepata magoli kipindi cha pili. Hazizidi mechi mbili ndizo ambazo yanga imepata goli kwanzia kipindi cha kwanza.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ibenge ndo mchawi wa kimataifa Nabi mbovu sana kimataifa.kuna uzoefu kwa timu pia unachangia.Yanga inashinda mkuu
Sihitaji mkajipongeze na makolo wenzako. Ushindi upo wee pigia mstari...Mkishinda njoo pm nikuwezeshe hela ya soda
Mnaangaika na team ya wananchi kama mntaka ingia chuamba cha kuzalia mmepatwa na uchungu🤣🤣🤣🤣Basi kuwa hivyo hivyo mchangia popote hahahh baki na mambo ya mbususu tuu.karibia tutakupa udaktari wa falsafa
Mimi nipo hapa kushuhudia.Koma we MAKOLO na jifunze kuwa na akiba ya maneno maana mpira ni dakika 90.
Yanga inashinda mkuu subiri mpira uishe ndio uongee mpira bado haujaisha huu ndio Kwanza half timeIbenge ndo mchawi wa kimataifa Nabi mbovu sana kimataifa.kuna uzoefu kwa timu pia unachangia.