FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Mimi naipenda sana Yanga. Mshana Jr, GENTAMYCINE na wanazi wengine wa Simba hapa jukwaani wanalijua hilo.

Ila kwenye ukweli lazima tuse.

Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.
Ushindi wa Yanga SC leo ni Sare ( ya Magoli ) au ya Suluhu ( isiyo ya Magoli ) au Kufungwa 1 - 0 au 2 - 0, ila Yanga SC yako haishindi / hamshindi leo.
 
Hizi ndio zile game za ukipata nafasi itumie instantly, hazina muda wa kukupa nafasi ya kurekebisha makosa yako kipindi cha pili, kazi kwenu.
Ni kweli. Ukikosa clear chance unaweza usiipate tena! Au unaweza kushinda 1-0 kwa nafasi moja uliyoipata ndani ya dk 90! Umenena vyema.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Azam mnatutenga sana
Huu ni uzi wa yanga mkuu,ndy maana nimewatakia kila la heri wao.Azam anzisheni uzi wenu Kisha tutakuja pia..Ila Nawatakia ushindi mwema pia,ni uhakika mtatoboa!!
 
Tulia Scars ,achana na wachawi wakitolewa huwa wanajipa kazi ya kupokea wageni.
Tatizo lao linakuwaga hapo tu na ndio sababu ya Simba wengi kushindwa kuwapa support

Ila muda ukifika nadhani wakijitambua wataona swala la kuwashobokea wapinzani hususani wageni ni kujivua nguo hadharani.
 
Nasikitika leo nchi inaenda kuingizwa kwenye aibu kuu. Wachezaji wa Utopolo kwanini msisingizie mna korona ili walau mechi ihairishwe mpka mwakani ?
 
Back
Top Bottom