Mimi naipenda sana
Yanga.
Mshana Jr,
GENTAMYCINE na wanazi wengine wa
Simba hapa jukwaani wanalijua hilo.
Ila kwenye ukweli lazima tuse.
Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha.
Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.