inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tumecheza makundi caf 2018Focus imeamia NBC baada ya kuona CAF pagumu?
Kwa malengo yenu hayo basi ile record yenu ya 1998 mtakuja kuivunja 2060
Ulishawahi sikia 'juhudi na maarifa'!?..mzamiru anakua na maarifa' gani caf zaidi ambayo ngao yanakua hayapo!?...galaxy si alikufumua tatu hapo kwa mkapa!?.. energy haikuwepo!?Huwezi kuelewa naona wewe labda umewahi kucheza rede tu. Wachezaji wanatumia energy tofauti kutokana na mpinzani alivyo vile vile kutokana na mashindano.
Hii energy mliotumia Leo haiwezi kuwa Sawa mngekutana na Al hilal mechi ya kirafiki dhidi ya wachezaji hao hao.
Aliowapiga mbili ni walima matango!?Mayele alipiga hat trick 2 .[emoji16][emoji16][emoji16].
Aliwafunga wasudan kusini.
Walima matikiti
Amka wewe acha kuota ndoto,Huyu al hilal hana pakutokea lazima afe uko uko kwao
Azam changamoto sana ndani ya dk 5 amefungwa goli 3Kinacho Mkuta Azam Huko
Angalia usije kuota wewe kwa kipigo mtakachopigwa na waangolaAmka wewe acha kuota ndoto,
CAF walivyosema mara ya mwisho Yanga kuingia makundi ilikuwa 1998 inamaana walikuwa wanapotosha?Tumecheza makundi caf 2018
Bwana ametoa na bwana ametwaa......
Angalia usije kuota wewe kwa kipigo mtakachopigwa na waangola
Uto bhana kwamba 2018 ahahahaahahahahaahaTumecheza makundi caf 2018
Mchezaji aliyecheza Nyiukasto ana shida gani?
Hahaha waliomba mpira uisheYanga msimu huu wamekuwa ya kushinda kipindi cha pili. Sijui hii record hii itaendelea leo ama ndio mwisho wake
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hutaki!?Uto bhana kwamba 2018 ahahahaahahahahaaha
Champions league,confederation tumecheza si chini ya Mara mbili kati ya 2013-2018CAF walivyosema mara ya mwisho Yanga kuingia makundi ilikuwa 1998 inamaana walikuwa wanapotosha?