Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
MdebwedoYanga washaanza kulegea ni hatari sana aiseh
Na aendelee kukosaMayele kakosa goli tamu sanaaa
Dahh tuwaombee watani bna.Na aendelee kukosa
Hasa ikitokea mkamaliza kipindi cha kwanza 0-0Mbinu ya kupiga pressure mapema ni nzuri ukipata goli lakini ni mbaya wageni waki adapt na kuanza kucheza huku hamjapata goli! Lazima mtacheza kwa panic
Washapata za kutosha konaSioni yanga wakipata hata kona ukiachilia mbali goli.
Wana kona tatu mpaka sasaSioni yanga wakipata hata kona ukiachilia mbali goli.
Simba kapakatwa 😳😳😳Tulia upakatwe weweView attachment 2380332
Naona wameingia na heshima zote kwenye hii mechi, ni vyema Uto wakapata goli kabla jamaa hawajaadapt mchezo.Hawa waarabu vipi
Ngoja tuone.Sema hii mechi mtani inatakiwa uimalize kipindi cha kwanza