Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiliondoa hilo kolokolo tutafika mbali sana. Yangu iko very blessed, ila ina malaana ya kujitakiaHili nalo ni jambo la kuangalia. Ifikie wakati hii nembo ifanyiwe maboresho japo sijamaanisha kuwa ndugu Bujibuji Simba Nyamaume yupo sahihi kwa asilimia mia.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ha ha haWe mzee shindwa na huu wanga wako.
Upendo huvumilia, as long as tunapendana, na tunaipenda club yetu, tuvumiliane na tusonge mbele kwa furaha, Yanga moja, ndugu moja, fikra tofautiKwa mara ya kwanza umenitibua nyongo, kwanini beeeee umifyanya hivyo
Hatutaki habari za hivi leo tuache kwanza, njoo keshoKila kitu kinaanzia rohoni ndipo hudhihirika kwenye ulimwengu wa damu na nyama. Yanga walitoe hilo limwenge kwenye nembo yao.
Mwenge pia una laana, umelaanika. Soma Isaya 50:11
Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.
Baada ya kuwa tumelala kwa huzuni?Hatutaki habari za hivi leo tuache kwanza, njoo kesho
Baada ya kuwa tumelala kwa huzuni?
Nakuja Kigamboni, leo lazima tuangalie mpira pamoja. Wee fanya ufanyalo, mtorokeHatutaki habari za hivi leo tuache kwanza, njoo kesho
Kwa vile huu ni utabiri, na kinyume chake ni kweli.Yanga 2:0
Hata JWTZ wana nembo ya mwenge, lakini waliingia mpaka chumbani kwa Iddi Amini.Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza
View attachment 2380315
Vipi kuhusu mwenge wa Olympic unao tembea kimataifa?Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza
View attachment 2380315
Tulia upakatwe weweLILEPO HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwakuwa mimi naishi Sudan ya huku Temeke, sina budi kuwatakia kila la heri Al Hilal katika mchezo wa leoWakuu Leo Ndio Leo, Mtoto Atumwi Dukani, Ngoma Ya Mtoto haikeshi, Usiku Wa Deni Haukawii Kukucha.
.
Leo majira ya saa 10:00 jioni, katika dimba la Benjamin Mkapa, Yanga watashuka dimbani katika mchezo wao dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
.
Ikumbukwe, katika michezo Yao ya awali, Yanga waliwatoa Zalan na Al Hilal wakawatoa St. George ya Ethiopia.
.
Yanga inafundishwa na Kocha Prof. Nabi huku wapinzani wao wakinolewa na Kocha Ibenge.
.
Iwe Jua Iwe Mvua Team Ya Yanga inahitaji ushindi Wa kuanzia goli 3 ili kujihakikishia nafasi ya Kusonga Mbele.
.
Mechi itakuwa live kupitia Azam Sports 1HD
.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huzuni mtalala nayo nyie waarabu na wapambe wenuBaada ya kuwa tumelala kwa huzuni?
Unazani ile ni ZALAN wabongo akili hatunagaLILEPO HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]