Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ahsante kwa taarifa.DStv wanaonesha kuanzia hatua ya makundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa taarifa.DStv wanaonesha kuanzia hatua ya makundi
Aliyesema DSTV ninayo pekeyangu ni nani? Hizo stress za kijinga mpelekee mama yako huko.Makundi ndio walionesha kaka, DSTV hauna nayo peke yako.
Nimekumhushwa hapo juu, kuwa ni hatua ya makundi.KBC walirusha kwenye hatua hii? Sio kwenye hatua ya makundi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kuwaona hapa ni mpaka wapate goli, hata wao wanaogopa[emoji1].Uto wamekimbia uzi kabisaaa,mpaka wapate goli
Na kinyume chake ni sahihi kwani ni utabiri tuFt Yanga 5-1 Al hilal tunza hii meseji
tabiri zimeshafungwa, baada ya mechi kuanza huwa hazikubaliwiFt Yanga 5-1 Al hilal tunza hii meseji
Huwa anakuwa mzuri zaidi akitokea benchi.Morrisson akichoka anakuwa chizi
Wanachungulia taito ya uzi kuona matokeoKuwaona hapa ni mpaka wapate goli, hata wao wanaogopa[emoji1].
Waupige mwingiMajamaa yanacheza
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe asilimia 100.Huwa anakuwa mzuri zaidi akitokea benchi.
Na ikiwa kinyume chake usiukimbie huu uzi! Umesikia we utopolo?Ft Yanga 5-1 Al hilal tunza hii meseji