Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Hawa tutawapiga kama ngoma kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema AZIZI MAUFUNGUO, chezaji la kampeni hilo[emoji23]Hivi Aziz Ufunguo alicheza leo?
Kabisaaa[emoji23]Lile goli la mayele la kuvizia ingekua ligi kuu ingewekwa kati..
😁😁😁😁😁😁Sawa mtani keka limeungua
Jipe moyo mkuuThanks to ALLAH mechi imemalizika salama hawa kwao watajuta
Kama Simba inavyocheza dhidi ya timu mbili msimu wa tano sasa. Tulia dawa ikuingie.Imagine Yanga inacheza na timu mbili leo.
Come On Yangaaa[emoji123][emoji123][emoji617][emoji617]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zalan FC.Yanga hizi ndio International games!
Imekuwa kwao tena, hapa kwenu imeshindikana nini?Thanks to ALLAH mechi imemalizika salama hawa kwao watajuta
Kumbe nawe unafuatilia fabo...aisee hapa jf naweza kweli pata mkeAl hilal wanaonekana wako moto nao kwa sasa. Shughuli pevuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Wakiambiwa kuwa kule kwenye CAF hakuna mambo kama haya wao hawaamni yaani..!Mambo ya akina ARAGIJA hayapo huku, hapo ingekuwa ni NBC PL hilo lilikuwa ni goli.
Yanga wamejifunza mengiWatakuja wote, we subiri tu.
Au Aziz MadomoSema AZIZI MAUFUNGUO, chezaji la kampeni hilo[emoji23]