Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee naona umewasili sasa hayo matikiti yako wapiNini lakini Mtani.
SOMA HIYO MTANI.
Mpira una matokeo Matatu lakini Mtani ikitokea hivyo pia sio mbaya.Aisee naona umewasili sasa hayo matikiti yako wapi
Jamaa wameoga,wamefua na wamepasi na hivi sasa wako mjini, wanataka kumshikisha adabu Chura nyumbani kwake.
Je ni kina nani hao? Shadeeya
Ingia Google wewe boya utapata kujua malindi ni timu gani?Ko malindi ni timu kubwa eeh?
Ila sawa kwa Yanga ni timu kubwa
Mikia FC kazini.Yanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1.
Niliyobaini kwenye mechi hii:
Kwanza;inaonyesha Yanga hawajajipanga kwa michuano mikubwa.Kwanini nasema hivyo?Huwezi kusema eti unaenda kushindana kwenye CAF CL huku kwenye maandalizi unacheza mpira wa hovyo,usio na mipango namna ile.
Pili;Kuna maeneo Yanga wamejitahidi kusajili.Nawapongeza kwa kuwa na Mohammed Issa 'Mo Banka', Deus Kaseke mpambanaji,na wengine wachache.Hawa jamaa wanajituma kwakweli,lakini wengine mmmmhhh...!!
Tatu;Huyu mchezaji mliyetufanyia surprise (David Moringa) ni mzigo kwa timu,yaani kwa huyu watani zetu mmepigwa mkapigika hasa.Hivi mlisajili mcheza soka, mbeba vitu vizito au bodyguard? Mechi dhidi ya Kariobangi nilimwona anaruka ruka tu kwenye zile dakika 5 alizopewa.Leo kafanya yale yale kwa dakika takribani 70.
Eti mlikuwa mnasema Simba imeibiwa kwa wale Wabrazil?Nyie itakuwa ni zaidi ya kuibiwa.
Anyway,watani zangu mna nafasi ya kujipanga kwa ajili ya TPL tu,huko kwingine wala msisumbuke.Na kwa aina ya wachezaji mlionao, malengo yenu mwaka huu nadhani ni kuishia nafasi ya 3 kwenye TPL.Mnasikitisha!😱
Nyinyi mnataka wacheze vipi ?Yanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1. Niliyobaini kwenye mechi hii: Kwanza;inaonyesha Yanga hawajajipanga kwa michuano mikubwa.Kwanini nasema hivyo?Huwezi kusema eti unaenda kushindana kwenye CAF CL huku kwenye maandalizi unacheza mpira wa hovyo,usio na mipango namna ile. Pili;Kuna maeneo Yanga wamejitahidi kusajili.Nawapongeza kwa kuwa na Mohammed Issa 'Mo Banka', Deus Kaseke mpambanaji,na wengine wachache.Hawa jamaa wanajituma kwakweli,lakini wengine mmmmhhh...!! Tatu;Huyu mchezaji mliyetufanyia surprise (David Moringa) ni mzigo kwa timu,yaani kwa huyu watani zetu mmepigwa mkapigika hasa.Hivi mlisajili mcheza soka, mbeba vitu vizito au bodyguard? Mechi dhidi ya Kariobangi nilimwona anaruka ruka tu kwenye zile dakika 5 alizopewa.Leo kafanya yale yale kwa dakika takribani 70. Eti mlikuwa mnasema Simba imeibiwa kwa wale Wabrazil?Nyie itakuwa ni zaidi ya kuibiwa. Anyway,watani zangu mna nafasi ya kujipanga kwa ajili ya TPL tu,huko kwingine wala msisumbuke.Na kwa aina ya wachezaji mlionao, malengo yenu mwaka huu nadhani ni kuishia nafasi ya 3 kwenye TPL.Mnasikitisha!😱