Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Yanga ni timu hatari na nusuMabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans (Yanga), leo Ijumaa Agosti 28, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Pamba Jiji katika mchezo wa mzunguko wa nne wa ligi hiyo.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 3:00 usiku katika Uwanja wa KMC Complex, huku Yanga wakiingia kwenye mchezo huo wakiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yao yote mitatu ya mwanzo msimu huu.
View attachment 3658834
View attachment 3658845
Bado hamjasemaMlezi w Pamba jiji ni mjumbe wa bodi na shabiki gala gala wa yanga,,.hakuna mechi hapo
Mechi bado mkuuYanga wamenifadhaisha sana kushindwa kufunga mabao zaidi ya mawili
Hata Simba ni hivyo hivyoMlezi w Pamba jiji ni mjumbe wa bodi na shabiki gala gala wa yanga,,.hakuna mechi hapo
Badala ya kucheza mpira kwl mnacheza maigizo,Hata Simba ni hivyo hivyo