FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo.

Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga iliingia na kikosi cha kwanza huku magoli yakifungwa na Mayele na Feitoto.

Ni hayo tu.
 
Sawa. Tunashukuru kwa taarifa. Na vipi kuhusu matokeo ya simba na Kipanga fc, yalikuwaje?
 
Mbuni fc ipo daraja la ngapi?????
 
Ila wakuu, tukiacha ushabiki maandazi, kutegemea timu nyingine ije imfunge Yanga ndo tufurahi wakati sisi hao Yanga tumewashindwa naona sio sawa
Kwani hapa tunazungumzia nini
 
Hawa jamaa hawaachi hii tabia yao ya kucheza na watoto wakijiandaa na mechi za mashindano za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…