FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

Hawa jamaa hawaachi hii tabia yao ya kucheza na watoto wakijiandaa na mechi za mashindano za kimataifa.
Nyie mnaojiandaa na timu kubwa mmewazidi nini hao wanaojiandaa na watoto ebu tueleze tupate kuelewa
 
Nyie mnaojiandaa na timu kubwa mmewazidi nini hao wanaojiandaa na watoto ebu tueleze tupate kuelewa
Endeleeni tu kumpima Aziz k Kwa mbuni, muone kama mtagundua madhaifu yake Kwa kucheza na mbuni
 
Nilipoona tu wameshindwa kupata cleansheet dhidi ya Mbuni Fc, nikajua kabisa hakuna team hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbuni fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…