FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

Hawa jamaa hawaachi hii tabia yao ya kucheza na watoto wakijiandaa na mechi za mashindano za kimataifa.
Nyie mnaojiandaa na timu kubwa mmewazidi nini hao wanaojiandaa na watoto ebu tueleze tupate kuelewa
 
Nilipoona tu wameshindwa kupata cleansheet dhidi ya Mbuni Fc, nikajua kabisa hakuna team hapo.
 
Back
Top Bottom