FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hili vibe ni noma!! Dah! Bahati mbaya Boss amenikatalia ruhusa! Naingia lindo saa 12 hii!! ephen_ mwakani uniombee nipate ruhusa hapa ofisini. ๐Ÿ˜ก
Muda huu nimebeba kirungu changu, huku nikiwa nina hasira kali balaa. ๐Ÿ˜ฉ
Kirungu gani Tate!?..isije kuwa unajichukulia sheria mkononi,unakwea mnazi kwa mkono mmoja
 
Ila kiukweli nimeamini Tanzania ina WEHU.

Imagine watu wameacha kufanya mambo ya msingi kufuatilia Vyura.

Asante Mungu kunipa akili na maarifa.
 
Naskia kuna mtu anasema hapa eti hawa warembo waliojaa humo uwanjani ni kama wale wa Cape Verde
 
๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ
 
Makamu wa Rais na mgeni rasmi dkt. Philip Mpango anaingia uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ