FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hii picha inachekesha sanaaaa😂😂😂
 

Attachments

  • downloadfile-16.png
    downloadfile-16.png
    602.5 KB · Views: 1
Ni saa moja kasoro. Tuanze sasa shughuli ya kutambulisha wachezaji
 
Mie nasubiri tamasha liishe nipate connection, maana watani zangu kwa kuigiza video za X tu hamjambo!! 😄 🤣 😂 😆
 
Mbona watu wa maana wanaanza kuondoka 😑😑😐😐
 
Back
Top Bottom