Anapoteza mda tuu aseeeHarmonize Arudishe hela zetu maana sijuwi hata kama yeye mwenyewe kama anaelewa anachokifanya hapo jukwaani. Sijuwi kavimbiwa au kuna vitu katoka ametumia .
CC ephen
Hahahahaha atakua tayari kavutaHarmonize Arudishe hela zetu maana sijuwi hata kama yeye mwenyewe kama anaelewa anachokifanya hapo jukwaani. Sijuwi kavimbiwa au kuna vitu katoka ametumia .
CC ephen
Yanga wamebobea kwenye kulamba na kunyonya Azam wanasubiri.Alikuwa anakula koni utafikiri anafanya kazi kiwanda ya uonjaji kiwanda cha bakhresa
Kwenye kuigiza x hawajambo. π π€£Yanga wamebobea kwenye kulamba na kunyonya Azam wanasubiri.
Game iko Saa 2 na Nusu mkuuSherehe imedoda hakuna mpangilio wa mambo,muda umeenda tuone mpira sasa
Kushoto kulia πππUyu jamaa leo kaja na mulika tochi au kavuta bhangi π€£
Uyu jamaa kamix mavitu sio bure π€£Kushoto kulia πππ
Hata yeye anasema hategemei kutunga mwingine hivi karibuni. Ule wimbo una integrity, haujataja majina ya kichawa zaidi ya kuizungumzia SimbaWimbo mbovu shoo mbovu. Wimbo wa Simba ule alioimba Ali Kiba utadumu vizazi na vizazi.
Shabiki wa Yanga hapa njpeni mnipige.
πππππSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
kuna shida maali hamo sio performance zake iziSiku hazifanani harmonizer ku underperform, Mimi nina shida na idara ya hbr, ratiba ifuatwe...
We mzee unajua nini!Harmonize alikamia sana..
Mpaka anaenda nje ya biti