FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Uyu jamaa leo kaja na mulika tochi au kavuta bhangi 🤣
 
Siku hazifanani harmonizer ku underperform, Mimi nina shida na idara ya hbr, ratiba ifuatwe...
 

Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.

Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia
💚💚💚💚💚
 
Siku hazifanani harmonizer ku underperform, Mimi nina shida na idara ya hbr, ratiba ifuatwe.
 
Back
Top Bottom