njumbukidamaji
Member
- Jan 27, 2022
- 5
- 5
siku azifananiHarmo ametia aibuπ
Na wakisikia supu ya bure huwa hata chupi hawavai ..Kwenye kuigiza x hawajambo. π π€£
Apunguze uzitoππHarmonize alikamia sana..
Mpaka anaenda nje ya biti
Yaani hapa naona anataka kuharibu tu Siku. Ni lazima arudishe hela zetu.hawezi akafanya ujinga huo halafu ale hela kirahisi .lazima azitapike pesa zetu.Harmo ametia aibuπ
Kuna bhangi kichwani apo haijakaa vizuriManager wake kamwambia muda umeisha! Ila naona anaendelea
hako kamwili kake ukikachemsha katatoa supu kweli!Duh kuna huyo mwananchi π
π π π πHii mianaume inayoitikia wimbo wa Zuchu sijiiiiiii. Sijiiiiiii imeleft? Yanga aisee
Acha aendelee maana hakujulikani kinafata nini?Manager wake kamwambia muda umeisha! Ila naona anaendelea
Kumbe watu wanaliwa na hamsemi? ππ³hako kamwili kake ukikachemsha katatoa supu kweli!
Umekimbia kuzunguka uwanja kabla ya show, definitely sauti lazima itoke na mawimbi ya off key kutokana mabadiliko ya upumuaji.Harmonize alikamia sana..
Mpaka anaenda nje ya biti
Bangi na supu si powa.Harmo ametia aibuπ