FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hawa mapimbi wameachiwa jukwaa wanafikiri ni fiesta. Wafukuzwe hapo tuone mpira sio makelele
 
Harmonize alikamia sana..

Mpaka anaenda nje ya biti
Umekimbia kuzunguka uwanja kabla ya show, definitely sauti lazima itoke na mawimbi ya off key kutokana mabadiliko ya upumuaji.

Chakufanya ni kuhakikisha sauti ya mziki inakuwa kubwa kuliko wewe muimbaji na uuaachie mziki uimbe kisha uwe unafukia mashino kwa kukazia (Maana mashabiki wanazijua nyimbo)

Sasa yeye anataka aimbe directly lyrics zote ni lazima aonekane yupo off key tu.

Shida ni kwa Dj wake pia, mpangilio wa mziki upi uanze upi ufuate, unaanzaje na wimbo unaodai kuwa ni special kwaajili ya tamasha.
 
Back
Top Bottom