FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja

Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.

Mtu huyo anaweza asiamini.

Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
 
Yapo yanapiga kelele2 badala yafanye mambo faster
 
Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja

Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.

Mtu huyo anaweza asiamini.

Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
Nzi wa kijani hawajawahi kuwa na akili ndugu yangu
 
Back
Top Bottom