FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Aliyempa Manara mic aongee atajuta sana huyu mdomo wake hauna breki ni kuropoka ropoka tu. Alichokifanya kwa Aziz Ki sio uweledi hata Aziz Ki hakufurahishwa nacho. Kitambulisha wachezaji na Mobeto wapi na wapi? Inasaidia nini pengine mtu ana familia yake huko kwao.
 
Huyu ki azizi wanatumia vibaya wanambemenda na hili lizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…