avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Yupo sahihi. Kustaafu( retirement) kazi kupo kwa aina TatuKumbe Bacca mstaafu?
Manara anaropoka.
🔹Kufukuzwa
🔹Kuacha kwa hiari
🔹Kutimiza umri wa kisheria ( uzee)
🔹Kufariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihi. Kustaafu( retirement) kazi kupo kwa aina TatuKumbe Bacca mstaafu?
Manara anaropoka.
Ndio maana wanatupotezea mudaRed Arrows hawajaja
Heeh! hadi wewe ushaona imekuwa ujinga sasa
Wapuuzi haoMwakani watasema “hapa hatuji tena”
they have to ban himmanara akili isharuka
Levi moja lilisikikaChama anashukuru kupata shirika la kustaafia
Tuko Live
Usiogope YANGA BINGWA>Mpira unaenda kuanza hata warm up hazijafanyika kwa wachezaji
Mazuzu hayo mkuuMbona yanakoroma tu kama mazuzu