FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Imekera,yaani ratiba zero management,watu wameingia saa 3 asubuhi wataondoka saa 6 usiku huu ni upumbavu
 
Aiseee viwanja viwili vyote vimejaa.

Kwa Mkapa hapatoshi ,Uhuru hadi wanamwagika.

Hadi Mama Kizimkazi amekubali NYOMI.
 
Mpira unaenda kuanza hata warm up hazijafanyika kwa wachezaji
 
Point ya kuleta makombe ni kuyabeba tu mbele ya camera bila maelezo?
 
Back
Top Bottom