FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Jamani wenye nchi tusikubali, Hizi dharau sanaaaa kwa sisi na Tajiri wetu Bahiliii .....

Kwani YANGA waliomba kibali cha Tamasha la mpira au Fiesta??

Jengine:-
Swali:- Mpira wa YANGA unasiasa?
Jibu:- Kwani 03/08 Nani aliongea na mgeni rasmini alikua nani??

Wananchiiiiiiii


#YNWA
#YANGA_BINGWAA
 
Jamani wenye nchi tusikubali, kwani YANGA waliomba kibali cha Tamasha la mpira au Fiesta??

Swali:- Mpira wa YANGA unasiasa?
Jibu:- Kwani 03/08 Nani aliongea na mgeni rasmini alikua nani??

Wananchiiii


#YNWA
#YANGA_BINGWAA

Siku ya Wananchi inabidi sijui ifanyike wapi ,inaonekana Kwa Mkapa hapatoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…