Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ahsante...Hii inahitaji D ya physics kuelewahuo mzigo sio wake yupo kama geresha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante...Hii inahitaji D ya physics kuelewahuo mzigo sio wake yupo kama geresha
Wanazingua sana Hawa LeoMnaleta mapenzi kwenye vitu serious?
Hivi mnashindwa kuwaheshimu hao watu 60k hapo?
Watu wa Hovyo sana.Sherehe ya yanga ni nzuri ila kuna vitu vitu vidogo umewaharibia
Hakuna kitu kama hiko kakaSasa Bacca ni none of the above.
Bacca yupo likizo isiyo na malipo.
Akitoka Yanga anarudi jeshini.
Bacca hajastaafu.
Acha ubishi.Hakuna utaratibu huo
🤣🤣🤣 Safi sana!!Wanazingua sana Hawa Leo
Sio kweli kakaYa jana iko wazi
Pole sana mkuu mwakalebela hayupo sioIringa
Harmonize ndio ameharibu kugoma kuondoka jukwaaniAliyeandaa ratiba ya Yanga afutwe kazi
Punguza hasiraa!Acha ubishi.
Hujui hata utaratibu wa likizo isiyo na malipo?
Kalale ujikojolee.
Jamani wenye nchi tusikubali, kwani YANGA waliomba kibali cha Tamasha la mpira au Fiesta??
Swali:- Mpira wa YANGA unasiasa?
Jibu:- Kwani 03/08 Nani aliongea na mgeni rasmini alikua nani??
Wananchiiii
#YNWA
#YANGA_BINGWAA