FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Moderators nielekezeni namna ya ku mute baadhi ya content ambazo sitaki kuziona kwenye account yangu, Mfano content za mamipira ya bongo simba na yanga sitaki kuyaona kwenye timeline yangu nielekeze namna ya ku mute hizi takataka.
wakuwekee nyuma za Liverpool

tuko Live
 
Inasemekana Kapumbu yuko kwenye kikosi cha Red Arrows, ndio maana mchezo umechelewa

Tuko Live
 
Narudia tena kusema, tarehe 8 kuna watu hawataleta timu uwanjani kwa kuogopa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…