jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Leo ametumia nguvu nyingi sana kujionyesha anakubalika na uongozi na tajiri gsm hadi akavunja protokali makamu wa rais akashuka bila kuitwa wakati Diarra anatambulishwa.who is protecting him hapo yanga sijui nini
Alitaka kumfunika mgeni rasmi kujipendekeza. Utadhani alichomekwa dakika za mwisho.
Kaazi kweli kweli.